Kiwanja kinauzwa Kawe, Dar Es Salaam


*KIWANJA KIZURI KINAUZWA KAWE KANISANI CRDB*
Eneo zuri sana kwa biashara na Makazi unaweza jenga Apartments, Frem za biashara au nyumba ya kuishi.
●Umbali kutoka main road ni 30 meter
●Ukubwa wa kiwanja ni 460sqmt
●Kiwanja kina hati miliki
●Bei ni 250m tsh Maongezi
Karibu sana Mteja.
CONTACT
O747196597 WhatsApp
0718618508
0696288247