Kiwanja kinauzwa Kerege, Pwani
OFA! OFA!
Eneo la Mradi: KEREGE
Mkoa : PWANI
Wilaya: BAGAMOYO
Kituo Cha Daladala: KWA KIWETE.
Umbali toka lami: 800 MITA
Huduma zote ambazo ni Muhimu zipo Tena kwa uthibitisho;
MAJI - Mita za Maji Zipo.
UMEME - Nguzo za Umeme kabisa
BARABARA - iwe mvua ama JUA unafika hata gari ndogo.
MAJIRANI - Washaanza Kujenga tayari.
BEI- Kwa sqm 1 ni 18,000 tu kwa cash na 20,000 tu kwa malipo ya awamu
KWENDA SITE ni KILA SIKU.
Wasiliana nasi: 0626783900
Karibu ofisini: Bamaga - Mwenge ,Dora Tower,4th Floor.