Kiwanja kinauzwa Kibada, Dar Es Salaam


NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA
INA VYUMBA V5 VYOTE MASTER SEBULE JIKO KUBWA
INA STORE....
UWANJA SQM 1200
NYUMBA IPO KIBADA CRDB..
BEI MI 450 IKIFANYIWA FINISHING
ILA KAMA HAIJAFANYIWA FINISHING ML 400
HATI KAMILI KUTOKA WIZARANI...
MAWASILIANO 0688070757_0620871314
#INSTAGRAM _DALALI _EDGER _KIGAMBONI
SERVICE CHARGE ELF 30