Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani


NYUMBA INAUZWA KIBAHA MILLION 11 LIPIA MILLION 6 UHAMIE KISHA UTAMALIZIA ILOBAKI NDANI YA MUDA MCHACHE
■BEI YA HASARA SANAAA MILLION 11 RUKSA KULIPIA MILLION 6 NA KUHAMIA
■NI KIBAHA KWA MFIPA
IPO KARIBU NA BARABARA KUU YA MOROGORO ROAD UKISIMAMA KWENYE NYUMBA UNAIONA BARABARA AU UKISIMAMA KWENYE BARABARA UNAIONA NYUMBA
■NI MWENDO WA DK 10 KWA MIGUU KUTOKA BARABARANI HADI KWENYE NYUMBA KWA BODA NI BUKU TU NA UKIPANDA BODA UMEPENDA TU
■BEI NI MILLION 11💰 boss kalewa☺️
■SIFA ZA NYUMBA:INA VYUMBA VITATU,SEBULE,JIKO NA STOO
■UKUBWA WA ENEO NI MIGUU 20 KWA 25 MAKADIRIO ILA ENEO NI ZURI SANA
■NYUMBA INA MAJI NA UMEME
■MAUZIANO SERIKALI YA MTAA DOCUMENTS ZIMEKAMILIKA
GARI INAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
UNAKAGUA KWANZA UKIJIRIDHISHA NDO UNALIPIA
Gharama ya kukupeleka site ni elf 30
Haisuani na garama za usafiri
kwa maelezo zaidi nipigie
#0785889413
#0785889413
#0785889413