Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani
MRADI MPYA - 📍KIBAHA-PANGANI📍
>Mradi upo karibu na barabara ya lami
>Umbali ni Meter 50 toka barabara ya lami
>Bei ni 15,000 tu kwa sqm 1 malipo ya cash
>Bei ni 18,000 tu kwa sqm1 malipo ya awamu miezi 3
>Huduma zote muhimu zipo eneo la mradi I.e MAJI, UMEME, BARABARA n.k
>Eneo linatazama barabara kubwa ya mtaa.
>Kampuni itasaidia ufuatiliaji wa HATIMILIKI kwa mteja baada ya kukamilisha malipo yote.
>Muda wowote mteja anapelekwa site
MIRADI YETU MINGINE
*GOBA
*MADALE
*KIGAMBONI MWONGOZO
*KIBAHA STAND MPYA
*KIBAHA PICHA YA NDEGE
OFISI ZETU ZIPO MWENGE MPAKANI, JENGO LA TANZANITE TOWER, 2nd floor.
KARIBUNI SANA
Call/ 0768148964