Kiwanja kinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA KIWANJA KIPO KIBAMBA NYUMA YA MANISPAA YA UBUNGO
KIWANJA KATI KUNA PAGALE LAKINI BOVU NI LA KUVUNJA PAGALE KUUBWA
KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM 900
BEI MIL 14 TU
BEI HIYO NI SAWA NA BULE TU KULINGANA NA SEHEMU LILIPO MAJILANI KAMA HAO UNAVYO WAONA
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
PAMEPIMWA HATI ITATOKA KWA JINA LAKO
UMBALI KM 3 KUTOKA MOROGORO ROAD
BODA 1000 BAJAJI 800
MAJI UMEME VIPO
KARIBU SANA MTEJA