Kiwanja kinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam







KIWANJA CHENYE HATI, SQM.1,500, TSHS.190 MILIONI,KIBAMBA LUGURUNI.
Hapa ni umbali wa mita 400 tu kutoka Ofisi za MANISPAA ya Ubungo na jirani zaidi na MAHAKAMA YA WILAYA.
Mtaa tulivu na unaojengeka kwa kazi.
Kiwanja kizuri cha kwenye Kona.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.