Kiwanja kinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA MAHALI KILIPO NI DARESALAAM TZ ENEO KIBAMBA SHULE KIBWEGERE
UMBALI WA KM 4 BODA SHILINGI ELFU 1500
KIPO KARIBU NA SHULE YA MSINGI KIBWEGERE
KIWANJA KINAUZWA KIPO TAMBARALE KABISA MIUNDOMBINU YAKE UMEME UPO MAJI YAPO BARABARA HADI SITE INAFIKIKA VIZURI SN
BEI KINAUZWA TSHS MILIONI 18 MAONGEZI YAPO
SIZE NI 30×21
DOCOMENT SALE AGREEMENT
PAMESHAPIMWA TAYARI
KUPELEKWA SITE ELF 30
CONTACT US:-
0716223412
0618976024