Kiwanja kinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA KIWANJA KIPO KIBWEGERE DALAJA LA JESHI MTAA WA LUMUMBA
KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM 1200
BEI MIL 65 TOP
KIWANJA KIPO UMBALI WA KM 2 TOKA BARABARA KUU HII INAYO WEKWA RAMI KUTOKA KIBAMBA MPIJI MAGOE BUNJU
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
KIWANJA KIPO KARIBU NA SHULE YA MSINGI LUMUMBA
KARIBU SANA MTEJA
Call&watsapp 0769279936