Kiwanja kinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO KIBAMBA HONDOGO MKWAJUNI
NYUMBA NI YA VYUMBA V3 SEBULE JIKO DAINING PUBLC CHUMBA MASTER
ENEO SQM 700
BEI MIL 80
MAZUNGUMZO YAPO
NYUMBA INA GARDEN SAFI KABISA
NYUMBA IPO UMBALI WA KM 4 TOKA MORO ROAD
NYUMBA NI MPYAA
KARIBU SANA MTEJA