Kiwanja kinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA
IPO KIBAMBA SHULE DSM,
KUTOKA RAMI KILOMETA 3 TU
BEI TSH MILIONI 73
UKUBWA WA ENEO SQM 800
UMILIKI: MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE NZURI YA KISASA
DINNING ROOM
PUBLIC TOILET
JIKO ZURI
PIA KUNA SERVANT QUARTER YA CHUMBA KIMOJA NA JIKO LA NJE
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONA NYUMBA TSH 30,000/=
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI
#0714335450