Kiwanja kinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam
KIWANJA KIZURI SANA KIKUBWA
KINAUZWA >> KINAUZWA
LOCATION: KIBAMBA SHULE.
💥 SIFA ZA KIWANJA>>
#KIWANJA KINA SQMT 500.
#KIWANJA KIPO LOCATION NZURI SANA.
#HUDUMA MUHIMU, MAJI SAFI DAWASA NA UMEME, ZIPO.
#KINAFAA KWA MAKAZI, PIA
KINAFAA KUJENGWA NYUMBA ZA BIASHARA ( APARTMENT'S)
UKUBWA WA ENEO NI SQUARE METERS 500.
💥BEI NI MILION 25
MAONGEZI YAPO
KIWANJA HIKI KIPO KIBAMBA SHULE UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA KIBAHA.
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA HIKI NI KM 1.5
USAFIRI >>>
PIKI PIKI TSH1000/=
BARA BARA INAFIKA HADI SITE
DOCUMENT NI HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
SERVICE CHARGE 30k
🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA 📌