Kiwanja kinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SANA KIPO MTAA MZURI KINAUZWA KINAUZWA
LOCATION:: KIBAMBA CHAMA D.S.M TZ
DK15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
PLOT SIZE SQMT 900
HATI MILIKI SAFI
BEI YAKE NI MILION 30
MAONGEZI KIDOGO YAPO
UKITAKA ENEO LOTE SQMT 2100
BEI MILIONI 90
MAONGEZI YAPO
CONTACT: 0672 673363 >> 0763 219307