Kiwanja kinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam
GOROFA LINAUZWA
Location: KIBAMBA
*Distance* Lipo Mita 100 kutoka Morogoro road linatazama Barabara ya zamani na mpya ya Morogoro road
👉Ina Office rooms 4 kubwa na public toilets zake.
👉floor zipo 2 na vyoo vyake
👉Lodge ina rooms 16 kwenye floor ya juu na chini.
👉8 rooms kila floor
👉 Kila floor ina reception yake
👉Jiko kubwa
👉Indoor Bar area kubwa
👉Kwa mbele ina fremu 7 za biashara
👉Ambapo Fremu 3 ni doubles
👉Fremu 4 ni singles
👉Juu mbele ina ukumbi.
-Plot size Sqm 1007
-Document; Hati ipo kwenye process
Bei ni shilingi bilioni 1.2 maongezi yapo
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONESHWA TSH 30,000/=
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI
0652912222
0782414315