Kiwanja kinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


KIWANJA 💥 KIWANJA 💥
KIWANJA KIZURI SANA NA KIPO TAMBARARE (MKEKA) NA KIPO MTAA WA KISHUA BALAA KINAUZWA
💥 KIWANJA HIKI KINA SIFA ZIFUATAZO
# MIUNDO MBINI ZOTE ZIPO VIZURI
#HUDUMA ZA KIJAMII ZIPO ZA KUTOSHA
#KIPO TAMBARARE
#MTAA WA KISHUA
UKUBWA WA KIWANJA NI 20/20 METERS
DOCUMENT:- NI HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA
BEI NI MILIONI 18 MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA
🇹🇿 KIWANJA HIKI KIPO KIBAMBA HOSPITAL UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA NI KM 1 TUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE KIWANJA
KUONESHWA KIWANJA HIKI NDUGU MTEJA GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30
💥NDUGU MTEJA KARIBU SANA MANISPAA YETU YA UBUNGO
KWA MATANGAZO YA KIBIASHARA+what's up+255715777904
CONT+255788145810
Karibuni SANA DALALIMICHAELKANYERERE 🇹🇿🎤📞🇹🇿👈
maikokanyerere904@gmail.com