Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni geza bamba beach 🏖️
📍Umbal wa kilometer 12 kutoka fer yaan kivukoni
📍Napia umbal wa kilometer 11 kutoka Daraja Ra nyelele
📍Na Niumbal wakilometer 1 kutoka Barabara ya lami
Napia Kwenda Bahrain ni mita 500
SIFA ZA KIWANJA
🤝Pia kiwanja kinahati ya wizara
📍Kiwanja kinaukubwa wa sqm 570
📍Majiran wako vizur
📍Huduma za kijamii zipo Kama maji, umeme na NK..
📍Bei mill 35
☎️0789020004
NB : Gharama za kupelekwa saint ni erf 20,000