Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni Geza block 24.
📍Umbal wa kilometer 10 kutoka fer yaan kivukoni
📍Napia umbal wa kilometer 12 kutoka Daraja Ra nyelele
📍Na Niumbal wa meta 400 kutoka Barabara ya lami
SIFA ZA KIWANJA
📍Kiwanja kinaukubwa wa Sqm 500
📍Kiwanja kimepimwa na kinahat kamil
📍Majiran wako vizur
📍Huduma za kijamii zipo Kama maji, umeme na NK..
📍Bei mill 25
☎️0789020004
NB : Gharama za kupelekwa saint ni erf 20,000