Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


๐ Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada
๐Umbal wa kilometer 13 kutoka fer yaan kivukoni
๐Napia umbal wa kilometer 12 kutoka Daraja Ra nyelele
๐Na Niumbal wakilometer 3 kutoka Barabara ya lami
SIFA ZA KIWANJA
๐คPia kiwanja kinahati ya wizara
๐Kiwanja kinaukubwa wa sqm 665
๐Majiran wako vizur
๐Huduma za kijamii zipo Kama maji, umeme na NK..
๐Bei mill 18
โ๏ธ0789020004
NB : Gharama za kupelekwa saint ni erf 20,000