Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada
📍Umbal wa kilometer 10 kutoka fer yaan kivukoni
📍Napia umbal wa kilometer 9 kutoka Daraja Ra nyelele
📍Na Niumbal wa kilometa 1kutoka Barabara ya lami
SIFA ZA KIWANJA
📍Kiwanja kinaukubwa wa Sqm 600
📍Majiran wako vizur
📍Huduma za kijamii zipo Kama maji, umeme na NK..
📍Bei mill 28
☎️0789020004
NB : Gharama za kupelekwa saint ni erf 20,000