Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Mteja wangu unahitaji beach plot 🏖️🏖️🏖️ kigamboni puna basi umepata nipigie simu ukaone eneo ujilizishe.
Ni mita 200 tu kutoka site mpaka baharini unatembea tu
Ni mita 800 kutoka main road
Mradi umepimwa na mawe ya wizara tayari
Upimaji umekamilika ni kuprocess hati tu wizarani
SQM 1@30,000 CASH
HATI NI UHAKIKA UNALIPIA UNAJAZA FOMU ZA KUFATILIA HATI NDANI YA MWEZI MOJA UPATA HATI YAKO
PIGA SIMU 0753108723 CALL
0788916907 text Whatsapp
TUNAPATIKANA MAKUMBUSHO KIJITONYAMA JENGO MILLENNIUM TOWER II FLOOR 19