Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


UPDATED MAP🔥🔥Ni kigamboni Mbutu
🍀Eneo limepimwa
🍀Huduma zote za jamiii ziko site
🍀Eneo ni Tambalare
🍀Barabara zimechongwa
🍀Km 25 kutoka fery
🍀Km 2 kutoka barabara kubwa
BEI YA MRADI
🍀 Mita moja ya mraba ni 15000/= Ambapo kiwanja cha 500sq.m utapata kwa bei 7500000/= (milioni saba na nusu
🍀Malipo ya kidgokidgo yapo ila utapata kwa bei ya 18000/= Kwa mita moja ya mraba
📍TUNAPATIKANA KIGAMBONI GEZAULOLE (GEZAJUU) MBALAMWEZI LAND CONSULTANCY
KWA MAWASILIANO PIGA (0622272041/0745361837)KARIBUNI SANA