Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
TSHS MIL 95, JENGO LINAUZWA
LIKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KIGAMBONI KIBADA KISARAWE 2
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 600
NYARAKA ZA UMILIKI INA SALES AGREEMENT
NI JENGO JIPYA AMBALO HALIJAKAMILIKA LIMEJENGWA KWA RAMANI YA KISASA YA UNITS ZA BIASHARA YA KUPANGISHA
KATIKA JENGO 1 ZIKO UNIT 4 ZOTE ZINAFANANA
JUU 2 & CHINI 2 1 INA;
Chumba kimoja cha kulala, Sebule, Jiko & Choo chake ndani
MIUNDOMBINU YAKE;
Barabara imechongwa vizuri inafikika muda wote kiangazi/masika
Maji x Umeme vyote vipo
Neighbours hood nzuri ya kishua sio uswahilini
ASSET NZURI SANA KIBIASHARA
BEI LINAUZWA TSHS MIL 95
MAONGEZI YAPO PIA
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118