Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Yard inauzwa
Location:Kigamboni-Mjimwema
Yard inagusa barabara ya lami
-Yard imezungushiwa fence na ina mageti 2 ndani kuna nyumba ya ndogo ya kisasa.
-Plot size Sqm 9,330
-Title Deed
Bei shilingi Bilioni 1.6 maongezi yapo
GHARAMA YA KUPELEKWA KUONESHWA TSH 30,000/=
PIGA SIMU
0652912222
0782414315