Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


*JIPATIE KIWANJA KIZURI YALEYALE PUNA BEACH-KIGAMBONI*
✅Kipo karibu na barabara kuu ya Kimbiji-Ferry
✅Kinafaa kujenga Nyumba ya Makazi
✅Kinafaa kujenga frames za biashara
✅Huduma za kijamii ikiwemo umeme, maji, shule, hospitali zinapatikana.
*Bei ni Tzs 12M TU!*
Wahi kabla hujakosa!!!
Wasiliana nasi 0767711120/0677303344/0744444509