Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


๐ Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada block 15
๐Umbal wa kilometer 8 kutoka fer yaan kivukoni
๐Napia umbal wa kilometer 7 kutoka Daraja Ra nyelele
SIFA ZA KIWANJA
Kiwanja kinaumbali wa mita 600 kutoka men rod kubwa ya rami
Pia kiwanja kinahati ya wizara
๐Kiwanja kinaukubwa wa sqm 500
๐Majiran wako vizur
๐Huduma za kijamii zipo Kama maji, umeme na NK..
๐Bei million 50
โ๏ธ0789020004
NB : Gharama za kupelekwa saint ni erf 20,000