Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
PLOT FOR SALE. .
.
Eneo : Kigamboni Cheka
Square Meters : 5748.
.
.
Bei : Million 180
Documents : Title Deed.
.
.
PLOT STRUCTURE.
.
Petro Station ⛽ Eneo limepimwa Kwa ajili ya kituo Cha Mafuta.
.
.
SERVICES.
.
.
Maji.
Umeme.
.
.
NOTE.
.
.
Hiyo ni Site Plan ya kiwanja chenye ukubwa wa Square Meters 5748.
.
Kiwanja kipo Kigamboni Cheka ni Kwa Mradi wa kituo Cha Mafuta.
.
Kiwanja kina gusa lami yaani Main Road mjimwema kuelekea cheka.
.
Tunapo zungumzia uwezaji basi Eneo la uwekezaji ndo huu.
.
Karibu Sana Ndg Mteja Ofisi zetu zipo Magomeni kanisani.
.
Tuna zungumza moja kwa Moja na Landload yaani Mwenye Eneo.
.
Kama umevutiwa na property hii wasiliana na Bwana JENGA. .
.
CONTACT.
.
.
☎️Call 0718 211501.
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email jengarealestate@gmail.com.
.
.
JENGA REAL ESTATE,live a Happy life.