Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Uchongaji wa Barabara ukiendelea. Lengo letu ni kuhakikisha Mteja wetu hapati shida kufika nyumbani kwake pindi anaponunua kiwanja kwetu.
Huu ni mradi wa Dege kigamboni upo karibu na Ghorofa za Eco village Dege.
20,000 tu kwa sqm malipo ya cash
22,000 per sqm malipo ya awam kwa miezi sita huku ukianza na asilimia hamsini.
Twenzetu site.
Tupigie simu: 0782 763 203
Au fika ofisini Mwenge Bamaga, jengo la dora tower, ghorofa ya 04.