Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Updated map 🔥🔥
kigamboni Mbutu,1.5km from Main road ✅ unaweza lipa kwa cash au kidogo kidogo 🦋☺️
📌sqm 1 = Tsh 15,000 cash
📌sqm 1 = Tsh 18,000 kwa malipo ya miezi mitatu
Watu washaanza kuwekeza huku 👏
Tunapatikana kigamboni Gezaulole mahali zilipo ofisi zetu
🌸SIte Visit ni bure na ni kila siku kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.
🌸Tupigie 0752539779