Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


PAGARE LINAUZWA KIGAMBONI KIBADA
LINA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LENYE NAFASI STOO UKUBWA
UKUBWA WA ENEO SQM 700
HATI KAMILI KUTOKA WIZARA YA ARIDHI
BEI NI MILION 57 MAONGEZI KIDOGO
KWA MAWASILIANO PIGA NAMBA
0787085214
0717013943