Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Ghorofa inauzwa ipo kigamboni toangoma Ghorofa ya vyumba 6 sitingim dainingirom kitchen store umeme upo maji yapo Ghorofa Ina hati miliki Ghorofa Ina kisima cha maji UKUBWA WA kiwanja SQM 1200 Ghorofa aipo mbali na Barbara YA rami kama km 1,5 kutoka barabara ya rami bei ml 480
Call 0746 433 854