Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni dege
📍Umbal wa kilometer 15 kutoka fer yaan kivukoni
📍Napia umbal wa kilometer 14 kutoka Daraja Ra nyelele
SIFA ZA KIWANJA
Kiwanja kinaumbali wa kilometer 1 kutoka men rod kubwa ya rami
Pia kiwanja kina approved
📍Kiwanja kinaukubwa wa sqm 600
📍Majiran wako vizur
📍Huduma za kijamii zipo Kama maji, umeme na NK..
📍Bei mill 14
☎️0789020004
NB : Gharama za kupelekwa saint ni erf 20,000