Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


*Nyumba inauzwa KIGAMBONI-Mji Mwema KIBUGUMO*
-Nyumba ina vyumba V3 vya kulala vyote ni master bedrooms, kitchen ndani na nje, dinning room, living room, public toilet ndani na nje.
-Electrical fence, Garden na kibanda cha kupumzikia.
-Plot size Sqm 750
-Surveyed Hati bado
*Bei shilingi milioni 120 maongezi yapo*
* Simu 0677977188
#vyumba #tanzania #kariakoo #biashara #nyumba #instagram #instacool #instadaily #home #enterprenuership