Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
🗯️UNFINISHED HOUSE INAUZWA KIGAMBONI CHEKA
📍 Bei 130,000,000/= (130M)
__________
___
• Unfinished house na kiwanja chake ukubwa sqm 4085 hapo Cheka.
• Nyumba Ina Vyumba Vinne vya kulala
• Sebule kubwa
• Dinning Room
• Jiko kubwa mnoo #Vyumba vitatu kati ya Vinne ni Master bedrooms
• Choo Cha Familia
#Nyumba hii ambayo imebakiza finishing za tiles, rangi, gypsum, Umeme na aluminum window.
#Ukubwa wa Eneo ni Sqmt 4085
#Kiwanja kimepimwa na Kina Hati Miliki kutoka Wizarani
Bei ni 130M [#Maongezi yapo]
_________
#Kupelekwa kuona 40,000/=
№:- 0753172516