Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri sana (Apartment) inauzwa Nyumba ipo Kigamboni Geza, meter 300 kutoka Baharini. Dakika tatu kufika barabara kubwa
Kiwanja ni Sqm 1700, ina Hati ya Wizarani.
Ina vyumba 10
6 ni Master Bedroom
4 ni Bedrooms
4 Sitting rooms
4 Open Kitchens
4 Public Toilets
Finishing nzuri sana ya kisasa kabisa.
Bei ni TShs 1.2 Billion