Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Kiwanja kipo Kigamboni buyuni ni beach plot 🏖🏖🏖🏖mita 100 kutoka baharini kiwanja nikikubwa square meter 700. Tunauza kwa square meter moja 12,000 cash. Changamkia fursa twende site ukakione.
Sqm 1@12,000 tu yani 8.4M cash
Sqm 700 Ukubwa wa kiwanja
Upimaji umekamilika 💯
Huduma zote za kijamii zipo
Barabara zinapatikana vizuri
Simu ziite maBoss zangu twende site ukakione
☎️0753108723 call
0788916907 text WhatsApp