Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


*Plot inauzwa Kigamboni-Vijibweni*
*Distance* Umbali kutoka Darajani mpaka site 2KM na umbali Ferry mpaka site 4KM
*Location* Lipo karibu na Hospitali ya Vijibweni
-Eneo linafaa kuweka Yard, Fremu za Biashara, Apartment na Godown.
-Eneo lipo kwenye Industrial Area.
-Plot size Sqm 2700
-Document: Mkataba wa mauziano ya serikali ya Mtaa
*Bei shilingi milioni 350 maongezi yapo*
0713983876