Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


*Nyumba ya gorofa inauzwa Kigamboni-Kibada*
-Ina vyumba 7 vyumba 6 master, sebule 3, dinning, kitchen kubwa, sehemu ya kusomea, stoo na public toilet.
-Inafaa Kwa makazi au biashara
-Garden unaweza ukafanya shughuli ya watu 300, parking ya kutosha.
-Plot size Sqm 1900
-Title deed ipo
-price 500000 U$
0757583944