Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa, Bei ni Milion 7.5 Tu, Kipo kimoja. Kiwanja kinapatikana Kigamboni Tuangoma. Ni Kiwanja kizuri sana, kimezungukwa na Nyumba za kisasa na Huduma zote zipo. 0711677199
Kiwanja kina Msingi wa vyumba vitatu, sebule, na Choo Cha public. Msingi unaweza kuuendeleza au kuufanya kifusi uchaguzi ni wako kulingana na ramani Yako. Kiwanja hakiko Mbali na Barabara , Kwa pikipik ni 1000, ukiwa huna unatembea hata Kwa mguu dakika 5.
Ukubwa ni Futi 50 X 50. Unaweza kujenga Nyumba ya kuishi na familia au kupangisha ni wewe tu. Kwa maelezo zaidi nipigie 0711677199