Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


๐ Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada block
๐Umbal wa kilometer 10 kutoka fer yaan kivukoni
๐Napia umbal wa kilometer 9 kutoka Daraja Ra nyelele
SIFA ZA KIWANJA
Umbali wa kilometar 1 kutoka lami
Pia kiwanja kina Hati ya wizara
๐Kiwanja kinaukubwa wa sqm 1100
๐Majiran wako vizur
๐Huduma za kijamii zipo Kama maji, umeme na NK..
๐Bei mill 90
โ๏ธ+255789020004
NB : Gharama za kupelekwa saint ni erf 20,000