Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni dege
📍Umbal wa kilometer 18 kutoka fer yaan kivukoni
📍Napia umbal wa kilometer 17 kutoka Daraja Ra nyelele
📍Na Niumbal wa mita 100 kutoka Barabara ya lami
SIFA ZA KIWANJA
Kiwanja nichatatu kutoka men rod kubwa ya rami
Pia kiwanja kinahati ya wizara
📍Kiwanja kinaukubwa wa sqm 850
📍Majiran wako vizur
📍Huduma za kijamii zipo Kama maji, umeme na NK..
📍Bei mill 20
☎️0789020004
NB : Gharama za kupelekwa saint ni erf 20,000