Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


KIWANJA HOT CAKE 馃嵃 KINAUZWA KIGAMBONI DEGE (MCHIKICHINI) KIMEPIMWA NA KINA HATI 馃搫
_ Kiwanja Kiko Kigamboni Dege km 25 kutoka Ferry 鉀达笍
_ Eneo Lina SQM 980, kiwanja ni Tambarale na Kimepimwa
_ Kiwanja Kiko km2.3 kutoka Lami ya kwenda Ferry, boda 1000 mpaka kiwanjani.
_ Kiwanja Cha 3 kutoka barabara kubwa ya MTAA.
_ Kiwanja kimepimwa na kina HATI MILIKI (TITLE DEED)
_ Umeme na Maji vipo Site ni vya kuvuta tuu
BEI NI MILLION 18 MAONGEZI YAPO
_ Survey Charge Ni ELFU 20000
SIMU
0712656027