Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


TSHS MIL 10, NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO
UMBALI DK 4 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
UKUBWA WA KIWANJA CHAKE MITA 20*20=SQM 400
NYARAKA ZA UMILIKI INA SALES AGREEMENT
KIJUMBA KIMEJENGWA KISASA KIMEBAKISHA FINISHING PIA UNAWEZA ONGEZA VYUMBA VINGINE UKIHITAJI
KINA;
Chumba kimoja cha kulala ambacho ni master & jiko lake
MIUNDOMBINU YA;
Umeme x Maji vyote vipo
BEI INAUZWA TSHS MIL 10
MAONGEZI YAPO PIA
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118
#NB/-Hata hiki kikushinde!! unafanya nini mjini njoo umalize biashara mambo yasiwe mengi nisije ongea sana nikamkufuru Mwenyezi Mungu 🤨