Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI DEGE MWISHO.
INA HATI MILIKI YA WIZARA
UMBALI KUTOKA FERI HADI SITE NI MWENDO WA NUSU SAA
UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 700
SIFA ZA NYUMBA
INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA
VIWILI NI MASTER BEDROOM
SITING ROOM KUBWA YA KISASA
DINING ROOM
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET MOJA
STORE KUBWA
CHOO CHA NJE
JIKO LA NJE
MAJI SAFI YA KISIMA
UMEME UPO
BEI NI TSHMILLION 120 MAONGEZI YAPO
PIGA: 0652 502 988