Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


*Eneo la Ekari 6 la Viwanda linauzwa Kigamboni Kisota*
-Eneo ni tambarare lote.
-Eneo limepimwa matumizi Kiwanda
-Eneo limezungushiwa fensi nusu
-Ukubwa waeneo ni *Sqmtrs 23,914*
Sawa na hekari 6
-Document: Title Deed
*Bei shilingi bilioni 3.5 maongezi yapo
☎️0693 468394