Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KIGAMBONI KIBADA
UMBALI KM 1 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
UKUBWA WA KIWANJA SQM 500
NYARAKA ZA UMILIKI INA HATI
NYUMBA MPYA YA KISASA
YA FAMILIA KUBWA
YENYE;
Vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni Master, Dinning, Sebule, Jiko & Public Toilet
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Securityfenced
TUNAPOSEMA NYUMBA MPYA TUNAMAANISHA HAIJAWAI KUISHI HATA MBU! 🦟
BEI INAUZWA TSHS MIL 140
MAONGEZI YAPO PIA
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118
Swipe left