Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa KIgamboni mtaa wa Mkwajuni , kiwanja kimepimwa kina ukubwa wa square meter 307 sawa na mita 31x15. kumejengeka sana majirani wapo, umeme upo maji yapo kama unayoona jinarani anayepakana na kiwanja hapo kwenye picha mawasiliano 0659962452 bei milioni 7 na laki 5