Kiwanja kinauzwa Kijitonyama, Dar Es Salaam


ENEO LINAPATIKANA - VICTORIA, KIJITONYAMA
Eneo dogo lakini lenye fursa kubwa za uwekezaji! ๐
โข Uwekezaji bora: Jenga ofisi ndogo, gorofa kwa biashara, saluni za kisasa, spa, au huduma za massage.
โข Faida kubwa: Eneo lipo sehemu yenye mzunguko mzuri wa watu, linalofaa kwa biashara yoyote.
โข Bei: TSH Milioni 65 tu ๐ฐ
โข Hati miliki: Mmiliki halali yupo, nyaraka zote ni sahihi (Serikali ya Mtaa).
Usikose fursa hii adimuโwekeza leo na hakika utavuna kesho! ๐
#EneoLaBiashara #UwekezajiMkoaWaDar #FursaZaBiashara #KiwanjaDar #RealEstateTanzania #WekezaNaFaidi #BiasharaYenyeFaida#fensed#dalalisosotabata