Kiwanja kinauzwa Kikombo, Dodoma


*KIMESHUKA BEI SASA NI MILIONI 3.5 TU*
*KIWANJA HIKI NAKIUZA HAPA KIKOMBO DODOMA*
*KINAPAKANA NA KITUO CHA SAMIA CHA KULELEA WATOTO YATIMA NA PIA NI JIRANI NA MAJENGO YA KOTA ZA MAGOROFA YA ZIMAMOTO*
Kiwanja kinatazama kituo cha Samia cha kulelea watoto yatima, kimetenganishwa na Barabara kubwa ya meter 30.
- Kiwanja kina HATI
- Ukubwa SQM 421
- Block CH
π *BEI MILIONI 3.5*
KARIBU TUKUHUDUMIE π€
0672312302