Kiwanja kinauzwa Kilimanjaro, Kilimanjaro
HABARI NJEMA MOSHIII!!!!
KIWANJA SAFII KINAUZWA MARANGU!!!
Location; Marangu Moshi, chini Kidogo ya Marangu mtoni,
Mita 600 kutoka barabara kuu ya lami, maeneo tulivu Kwa makazi.
KIWANJA ni kizurii kina view nzurii ya mlima Kilimanjaro, kipo tambarare kabisa, Huduma zote za kijamii zipoo, Umeme, maji, barabara etc.
Ukubwa wa kiwanja ni 35/45
Price ni Milioni 28 tuu
Kwa maelezo zaidi Nichek 0717916034