Kiwanja kinauzwa Kiluvya, Pwani


NYUMBA KALI MNO INAUZWA KILUVYA DAR YENYE SIFA HIZO#####
VYUMBA V3 KULALA K1 MASTER,SEBLE,JIKO,DINNING NA CHOO PUBLIC***** PIA KUNA BOY QUARTER ZA CHUMBA MASTER NA SEBLE X2 ZIMEFIKIA KWENYE RENTA(UNFINISHED)######
UKUBWA WA KIWANJA SQM 600 PAMEPIMWA TAYARI(Ulasimishaji)**** UMBALI TOKA MOROGORO ROAD MITA 800 TU**** UMEME NA MAJI YAPO######
BEI MILLION 65 TU MAONGEZI!!!
0655436396
0782636396